liangaliwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    DOKEZO Daladala T 474 CQB ya Kigamboni Mwasonga-Kibada linatumia mafuta yaliyo kwenye kidumu ndani ya gari

    Gari la Kigamboni mwasonga to Kibada linatumia mafuta ndani ya kidumu cha gallon ndani ya gari, hata likiingia sheli wanaweka mafuta kwa ndani. Hii ni hatari kwa usalama
  2. L

    Suala la GSM kudhamini baadhi ya timu za Ligi Kuu liangaliwe upya, linajenga mazingira hasi na kupunguza ushindani katika ligi

    Jana nimeona kwenye kombe la xecafa singida Black stars wamevaa jezi zenye nembo ya GSM, huyo GSM ndio mdhamini wa Yangq, lakini timu kama Coastal Union, Namungo zina udhamini kama huo. Kwa mazingira ya kibongo hili jambo lina ukakasi sana. Kwa nchi zilizoendelea ambazo zinajali...
  3. Msanii

    TAMISEMI kushughulikia miundombinu ya shule za umma liangaliwe upya

    Hujambo ndugu? Nimetafakari kwa kina uamuzi wa serikali kuziweka shule za umma chini ya usimamizi wa TAMISEMI hususan miundombinu yao ninaona ni uamuzi unaohitaji kupitiwa upya. Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mujibu wa ibara 1415 na 146 za Katiba ya JMT (nimenakili hapa...
  4. J

    NHIF jambo hili liangaliwe

    Habari wakuu Ni matarajio yangu kuwa kwa kutumia jukwaa hili ujumbe utawafikia walengwa na hatua zitachukuliwa. Niko katika hospitali ya rufaa ya Bugando ambayo inahudumia wakazi wa mkoa ya Kigoma, Shinyanga, Mara, Mwanza na Kagera. Mgonjwa wangu anatibiwa kwa Bima ya NHIF tangu September...
  5. Mparee2

    Daraja la mto Mara (Serengeti NP) liangaliwe upya!

    Kuna daraja lenye urefu wa kama meta 50 hivi ambalo limejengwa ndani yamaji (yaani wamemimina maji yapite juu). Huo mto Mara ni mkubwa sana ambapo ndio watalii hufurika kuona Nyumbu wakivuka (crossing). Changamoto ya daraja ni kuwa , maji yakiongezeka kidogo, daraja huwa halionekani na hivyo...
  6. GENTAMYCINE

    Hili la Kuteua Mwenyewe na Kutengua liangaliwe kwa umakini kwani litakuza kiwango cha Upigaji na Rushwa nchini

    Nashauri Rais anapoapishwa tu apewe muda fulani kwa Kutulia ili aweze Kuchagua Watendaji alio na uhakika nao Kiufanisi ili anapowateua basi wafanye Kazi na siyo kuteua Watu (Watendaji) kwa Kubeti au Kubahatisha kama inavyoonekana sasa. Kwa Mtazamo wangu GENTAMYCINE hasa kwa hii tabia ya sasa ya...
  7. ndenga

    Baada ya zoezi la kuwapanga wamachinga, na hili liangaliwe...

    Nianze kwa kuipongeza serikali ya awamu ya sita kwa zoezi liloratibiwa vizuri sana la kuwapanga Wamachinga. Hili zoezi linaweza kuwa na lawama chache lakini ukichukulia tulipokuwa na tulipofikia kiukweli tumefanikiwa kwa kiasi kikubwa. Ombi kubwa katika hili ni kuhakikisha hawa Wamachinga...
  8. N

    Kutengeneza kizazi kipya cha uongozi ni jambo muhimu, ila Baraza la Mawaziri liangaliwe upya

    Tulizoea toka enzi ya Nyerere mawaziri walikuwa wanadumu kipindi kirefu utadhani hakukuwa na watanzania wengine wenye uwezo wa kufanyakazi Tunaweza sema alikuwa anaweka misingi imara ya nchi ktk nyanja mbali mbali hivyo ilimfaa kufanyakazi na wazoefu. Kwasasa nchi imekua, technology imekuwa...
Back
Top Bottom