Mwenyekiti mstaafu BAVICHA mkoa Kilimanjaro na Mwenyekiti wa wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome ametangaza nia yake ya kugombea Ubunge bila kujali harakati za Chama chake, CHADEMA za kuzuia Uchaguzi kama hakutakua na Mabadikiliko.
Kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa X, Mchome mwanachama wa...
Wakuu
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Kilimanjaro, kimemwandikia barua Mwenyekiti wa chama hicho Wilaya ya Mwanga, Lembruce Mchome kikimtaka ajieleze ndani ya siku 14 kwa nini asichukuliwe hatua za kinidhamu.
Mchome ameingia kwenye mgogoro na chama chake baada ya kuhoji...
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ChademaTz Wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome amesema amemuandikia barua Msajili wa Vyama vya Siasa kufanya uchunguzi juu ya uhalali wa Kikao cha Baraza Kuu la chama hicho kilichofanyika tarehe 22, Januari 2025 na kumpitisha John Mnyika kuwa Katibu...
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetoa muda wa wiki moja kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kiwe kimewasilisha maelezo kuhusu malalamiko ya mjumbe wa Baraza Kuu wa chama hicho, Lembrus Mchome.
Mchome aliwasilisha malalamiko kwa msajili wa vyama akilalamikia kikao cha Baraza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.