Hapa imetumika chenga ya mwili!! Kwenye taarifa moja kutolewa habari ya ongezeko la mishahara kwa asilimia 23.3 kwa kima cha chini na habari ya kupandisha mafao ya uzeeni huko PSSSF toka asilimia 25% iliyokuwa imekataliwa na waliokuwa wanachama wa PSPF na LAPF (waliokuwa wakipata asilimia 50%)...
Wanabodi, tunafahamu awamu ya tano iliunganisha mifuko ya pension nchini ambapo Mfuko wa LPAF ni miongoni mwa iliyoathirika na Hilo.
Kutokana na Hali hiyo, Mfuko wa LAPF umejumuishwa katika Mfuko wa PSSF.
Mshangao wangu ni kuona watumishi wa iliyokiwa LAPF kutolipwa kwa muda mrefu wengine...
Habar zenu ndugu zangu?.Natokea wilaya ya Muleba, mkoani Kagera, naombeni msaada wa mawazo na muongozo kwa wale wanachama wa LAPF.
Nilijifungua mwaka Jana 10/8/2018 nilijaza fomu na kuweka viambatanisho vyote kudai fao la uzazi. Tarehe 5/9/2018 barua zangu zilipokelewa ofisi za LAPF mwanza...
UPDATES:
Viongozi wa Vyama vya wafanyakazi wametoa historia ya walikotoka hadi walikofika. Aidha, wamedokeza kuwa wapo waliozimia kwenye ofisi za Mifuko ya Hifadhi ya Jamii.
Rais Magufuli anawasikiliza na anataka kila mtu aongee na kutoa dukuduku ili aweze kuongea.
Viongozi wa vyama vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.