I salute you kinsmen.
Viongozi nawapongeza sana kwa kuwa na jicho makini safari hii .
Kumleta Mwenda mchezaji mwenye kujituma na versatile player .
Mwenda anajua kucheza kulia na kushoto pia winga anacheza tu .
STRENGTH ZAKE.
-ni versatile player,
Anaweza cheza both left and right.
-Ana...
Timu ya Coastal Union imepokea barua rasmi ya Klabu ya Yanga kumuhitaji beki wa kati Lameck Lawi, Coastal Union inataka millioni 250 kama ada ya usajili wa Lameck Lawi kutoka Yanga.
Soma, Pia: Simba wakubali yaishe kwa Lameck Lawi, aanza kwenye kikosi cha Coastal Union dhidi ya Mashujaa FC...
Beki wa kati, Lameck Elias Lawi, ameanza rasmi leo katika kikosi cha Coastal Union kinachocheza dhidi ya Mashujaa FC, mechi ya ligi kwenye uwanja wa KMC Complex.
Lawi amejiunga na Coastal Union baada ya majadiliano ya muda mrefu kati ya Simba Sports Club na Coastal Union, ambapo Simba ilikubali...
Mlinzi wa klabu ya Coastal union na timu ya taifa ya Tanzania ameanza mazoezi rasmi katika klabu yake kuelekea mchezo wa ligi kuu NBC dhidi ya Jkt Tanzania Septemba 25 mwaka huu.
Lameck Lawi amerudi Tanzania baada ya kufeli majaribio katika klabu ya AIK ya nchini Sweden.
#matukiolive...
Mwanamichezo mstaafu na mchambuzi wa michezo Amri Kiemba ameandika maoni ambayo yamenifanya niwaze na kukaa chini kutafakari juu ya kauli na maneno ya msemaji ambayo kila siku yanazidi kushangaza na kumshushia tu Professional wake.
AMRI KIEMBA ANAANDIKA:
Kuna vitu unaweza kuviangalia halafu...
Wakati swala la mchezaji Lameck Lawi likiwa kwenye kamati ya Sheria na hadhi ya wachezaji tayari taarifa zinasema ameshafanyiwa vipimo na timu ya Genk ya Ubelgiji.
Kama wamemfanyia vipimo ni wazi kuwa mchezaji huyo ana nakala zote za Chama cha Soka Tanzania TFF.
Kitendo cha kamati ya TFF...
Mpaka sasa uongozi wa Simba sc upo kimya tu na hautaki kujitokeza hadharani na kutuomba Radhi mashabiki wa mnyama lialia nikiwepo mimi mwenyewe na ndugu yangu wa damu Gentermycin.
Hizi ni dharau kubwa sana ina maana viongozi wa Simba sc wamesahau kabisa kuwa wamedanganya mashabiki kwa kutuambia...
Nadhani sasa ifike muda Viongozi wa Simba SC muanze Kuutumia sana huu Mtandao wa JamiiForums ambapo wana Simba SC wote wenye Akili Kubwa na tunaoujua Mpira kwa Kuucheza kwa Viwango vyetu na Kuuchambua ili muwe mnachukua na kufanyia Kazi mawazo yetu.
Hivi Uongozi wa Simba SC kabisa kabisa huyu...
Simba iltambulisha kwa bashasha na furaha kubwa kwamba wamemsajili lameck lawi coastal union wakasema simba hawakufuata utaratibu kwa hiyo deal lilikufa simba wakaaminisha washabiki wao kwamba tayari ni mchezaji wao wasio na hofu
Ajabu lameck lawi yupo kambini tanga na coastal union kwa ajili ya...
LAMECK LAWI na Coastal Union wapo kwenye mchakato wa mwisho wa kukamilisha vibali vya Beki huyo kusafiri kuelekea nchini Ubelgiji ambapo inatarajiwa atajiunga na klabu inayoshiriki ligi kuu nchini humo ijapo haijawekwa wazi ila vyanzo vyangu kutoka Ubelgiji ni kuwa anaelekea K.A.A GENT endapo...
Salaam,
Viongozi wa Simba mnapaswa kufanya usajili kutafuta mbadala wa LAMECK LAWI wakati mkitafuta suluhisho la mgogoro huo. Msisubiri muda unaenda sana.
Tafadharini najua mtaenda CAS ila kwa kipindi hiki tafuteni mashine zaidi ya Lawi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.