Wakuu habari za jioni,
Kama kichwa kinavyojieleza, shemeji yenu anasumbuliwa na damu kutoka puani hari hii inaanza tu wakati anaanza kupiga chafya mfululizo gafla damu zinaanza kutoka lakini baada ya muda zinatoka pia tatizo ili huwa halimtokei mara kwa mara inakaa muda sana hata miezi miwili...