kutafuta mali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Makonde plateu

    Kipindi wazazi wa wenzenu wanawatafutia ngawira watoto wao, nyie wazazi wenu walikuwa kutwa wanakesha DDC Mlimani au Maclub

    Wazazi wa wenzenu walikuwa wanatafutia watoto wao ngawira walikuwa wanapambana huku na huko nyie wazazi wenu walikuwa wanakesha ma club wakijiona wajanja kuliko wazazi wengine, ona sasa nyie mnavyohangaika kutafuta pesa. Wazazi wenu hawajielewi, juzi hapa tumeuza Magomeni kila mtoto ameingiziwa...
Back
Top Bottom