kura feki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    LGE2024 Kigoma: Polisi wafanya uchunguzi wa tukio la mtu aliyekamatwa na kura feki zilizokuwa zimeshapigwa

    Wakuu, Niseme tu kwamba nashangazwa na wingi wa matakamko ya polisi siku mbili hizi, yaani ni bandika bandua! PIA SOMA - LGE2024 - Kigoma: Vijana wawekwa chini ya ulinzi kwa wizi wa kura baada ya polisi kuingilia kati
  2. Suley2019

    LGE2024 Mkurugenzi Kigoma akiri uwepo wa kura 'feki'

    Wakati Novemba 27, 2024 ikiwa ni zoezi la kupiga kura kwa ajili ya kuchagua viongozi wa serikali za mitaa, mkoani Kigoma tangu asubuhi kumeshuhudiwa malalamiko ya uwepo wa kura feki licha ya wimbi la wananchi kuonekana kujitokeza kupiga kura. Hali hii imeshuhudiwa katika maeneo ya Mwandiga, ya...
  3. Influenza

    LGE2024 Halmashauri ya Mji Bariadi yautaka Umma kupuuza taarifa za upotoshaji za uwepo wa kura feki

    Hayo yamebainishwa katika taarifa iliyowekwa na TAMISEMI katika ukurasa wao wa Mtandao wa X TAARIFA KWA UMMA JUU YA UPOTOSHAJI WA UWEPO NA KARATASI FEKI(BALLOTPAPER) ZA KUPIGIA KURA KATIKA HALMASHAURI YA MJI BARIADI Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Mji Bariadi Ndugu. Adrian Jungu anapenda...
  4. R

    LGE2024 Kura feki zinapochanganywa na kura halali nini hutokea?

    Salaam, Shalom!! Nijuavyo, 1. Ukichukua pesa ya Damu au ya ukaichanganya na pesa halali ukafungua biashara itakufa. 2. Ukichukua pesa ya mbwa, itokanayo na zinaa ,ukaichanganya na pesa halali iwe mtaji, biashara italaaniwa na kufa. 3. Ukimwibia boss wako, unachukua pesa hiyo na kuchanganya...
  5. C

    LGE2024 Kigoma: Vijana wawekwa chini ya ulinzi kwa wizi wa kura baada ya polisi kuingilia kati

    Wakuu, Uchaguzi huu umekuwa disaster! Mkuu utakuaje kwa trela hili? Pia soma: LGE2024 - Kigoma: Wananchi wafanya vurugu kituo cha kupiga kura Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote...
  6. C

    LGE2024 Shinyanga: Apatikana na karatasi za kura ambazo zimepigwa kwa mgombea wa CCM zaidi ya 100

    Wakuu, Kwani yale matokeo walisema saa nne yanakamilika imekuaje? Mwanamke mmoja amekamatwa na kura zaidi ya 100 ambazo tayari zimeshapigwa. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania...
  7. C

    LGE2024 Kigoma: Zitto apiga kura uchaguzi serikali za mitaa, azungumzia kura bandia kukamatwa

    Wakuu, Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesisitiza umuhimu wa kushiriki kikamilifu katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa, akibainisha kuwa uchaguzi huu ni fursa kwa wananchi kupata viongozi wa karibu wanaoshughulikia changamoto za moja kwa moja katika maeneo yao...
  8. C

    LGE2024 Kigoma: Mgombea adaiwa kukamatwa na kura feki

    Wakuu, Ingia hapa kupata matukio yote ya uchaguzi wa serikali za mitaa ingia hapa: https://www.jamiiforums.com/threads/special-thread-mijadala-ya-mikoa-yote-tanzania-bara-inayoshiriki-katika-uchaguzi-wa-serikali-za-mitaa-2024.2265632/ Anayedaiwa kuwa mgombea katika kitongoji cha Mgera B...
  9. Suley2019

    LGE2024 Kinondoni: Kura zadaiwa kukutwa zimepigwa kabla ya kituo kufunguliwa

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida inadaiwa kuwa masanduku matatu (3) ya kura zilizopigwa yamekutwa kwenye chumba cha kupigia kura majira ya saa 12 asubuhi ya leo, Jumatano Novemba 27.2024, ikiwa ni kabla hata ya muda wa kikanuni wa kuanza zoezi la kupiga kura ambao ni saa 02:00 asubuhi Inadaiwa...
  10. C

    LGE2024 Kigoma: Kura feki zakamatwa Mwandiga

    WAkuu, Kupitia ukurasa wa X wa ACT Wazalendo wameweka taarifa hii, mambo yameanza kunoga mapemaaa! Kupata matukio yanyojiri kimkoa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ingia hapa: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa...
  11. C

    LGE2024 Lema: Nina taarifa kuna kura zimeshapigwa, wanatafuta namna ya kuingiza kura feki

    Wakuu, Zikiwa zimesalia saa chache kabla ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Jumatano, Novemba 27, 2024 nchini Tanzania, jijini Arusha kumekuwa na malalamiko kutoka kwa vyama vya siasa, hususan CHADEMA Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa...
Back
Top Bottom