Kuna muda ni vyema kuyakubali mabadiliko ili kileta tija na ushindani katika sekta zetu za maisha,wakati mwengine akili ya binadamu ipo based on benefits bila ya kucompare athari ya hatua anazozichukua.
Jana nimepanda daladala ya kutoka mbezi - Karikoo mida flani ya saa 7, kulikuwa na gari 2...
TABIA NA MAKUZI
Kuna hii tabia ambayo sio nzuri kwenye daladala. Kuna hawa wadada wakiingia na watoto wao wadogo wanataka kupishwa kwenye seat ila siku wakiwa na pesa za kuwalipia hao watoto wao seat hawataki hawa watoto wawapishe watu wazima waliosimama kisa tu wamelipa pesa.
Hii kwangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.