Nimekuwa nikisia mara nyingi kuwa kunguru akifa haozi, bali hukauka tu na kadiri siku zinavyozidi kwenda hupukutika mpaka kuisha ila huwezi kuta kaoza wala kutoa harufu.
Badhi ya watu huwa wanasema haozi kwa sababu hali chumvi japo sina hakika katika hili maana mara kibao amekula vyakula vyenye...
Mm nimfugaji wa kuku na Bata ila napata changamoto ya kunguru kula vifaranga na mayai bandani wakimuona kuku katoka kutaga wao wanaingia yani ni mwendo wa kuviziana tu niwahi mm Yai au kunguru nimejaribu kuwa winda na manati nimefeli nimeweka sumu kwenye mayai niliyoyatoboa lakini bado wanadunda...
Kenya imeanzisha mpango wa kutumia sumu kuua Kunguru Milioni moja katika Miji ya Watamu na Malindi, ili kuzuia wasisambae Jijini Nairobi
Kunguru wamekuwa wakishambulia Wanyamapori, kuvamia maeneo ya Watalii, na kuvamia na kushambulia kuku katika Mashamba yao
Inaaminika Kunguru waliletwa kwa...
Kunguru ni ndege mwenye sifa za kipekee sana. Mmoja kati ya ndege anayejulikana sana duniani. Je, unafahamu nini au umewahi kusikia jambo gani kumhusu ndege huyu? Ngoja tumpe maua yake.
1. Kunguru wana akili kinoma noma. Ni kama akili walizo nazo watoto wa miaka saba kwa upande wa binadamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.