Kilimo ni uti wa mgongo wa nchi yetu ya Tanzania. Kilimo kinahakikisha upatikanaji wa chakula nchini na pia tunaweza kukuza uchumi wa taifa kupitia kilimo. Zifuatazo ni njia za kukuza uchumi wa taifa kupitia kilimo:
Matumizi mazuri ya ardhi: Tanzania ni nchi iliyobalikiwa kuwa na eneo kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.