Najua sitakuwa mwenyewe kwenye hili, nina uhakika kwenye simu yako lazima utakuwa umeshawahi kutumiwa message na kampuni za betting, kampuni ambazo hata hujawahi kutumia huduma zao na baadhi ya kampuni unakuta ni mpya.
Soma pia:
Je, makampuni ya simu yanatuuza kwa makampuni ya betting...
Mimi nimechezesha kamari za kichina slots machine kwa miaka mingi, ninachoweza kusema mashine hizi zinakusanya taarifa mbalimbali hasa hasa za hali ya kiuchumi kwenye maeneo yote ya nchi yetu.
Taarifa hizi hutumwa china kwa nyia ya simu na wachina wanaosimamia mashine hizo ama kwa kujua au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.