Kwa Tanzania sio ajabu kuacha salio kwenye mtandao labda Vodacom (imenitokea)salio la muda wa maongezi baaye ukajikuta salio limepungua au kukatwa.
Ni nadra uweke salio labda 1000 usijiunge baada ya siku 3 ukakuta salio limekatwa ukipiga simu utaambiwa Kuna huduma ulijiunga na kiuhalisia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.