MTU MBINAFSI MWENYE KUJIPENDA PEKEAKE(NARCISSIST)
Narcissist ni mtu ambaye ana tabia ya kujipenda kupita kiasi na kujiweka mbele ya wengine. Watu hawa mara nyingi wana mawazo ya juu kuhusu nafsi zao, wanahitaji kupewa sifa nyingi, na wanaweza kuwa na shida katika kuelewa hisia za wengine...
🪄Kwanz inaongeza confidence ya wew kujithamini na kujijali zaid
🪄 Pili inakupa aman moyon kwa sababu Kila kitu kinaanzia ndan ukiwa na upend binafsi unakua na aman ata Kam apo kabla ulifany vibay unakua na aman ya kuendelea mbel maan upendo hubeba Kila kitu
🪄 upend binasfi unavutia wengin...
Wakuu kwema?
Kuna mambo mengi tufanaya kwa ajili ya wengine huku mara nyingi tukijisahau sisi wenyewe.
Inaweza kuwa unafanya kwa kupenda na wakati mwingine ni kwa kujilazimisha kwakuwa hatutaki kuwakwaza wapendwa wetu, au kuwafurahisha watu wengine, na mara nyingine ni katika kutekeleza tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.