Baada ya picha ya madarasa ya Shule ya Msingi Magomeni ya Wilayani Tunduru Mkoani Ruvuma kusambaa zikionesha uhaba wa Madawati na miundombinu chakavu, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, Chiza Marando amesema wanafahamu kuhusu changamoto hizo na kuna bajeti ya maboresho.
Marando...
Tutajenga Madarasa Mapya hadi lini? Je kujenga Madarasa kila mwaka sio suluhu
Kama kadri wanafunzi wanavyo ongezeka na madarasa mapya yanajengwa basi ni hatari na kuna wakati itafikia maeneo mengi yatakuwa yamegeuka kuwa shule, kwa hali ya sasa hadi viwanja vya michezo vya shule baadhi...
Kupitia account yake ya Twitter, Heche anasema mkuu wa wilaya ya Nyamgana, Mwanza kaamrisha wazazi wenye watoto shule za Mongela na mlimani kulipa tshs 10,000 kila mmoja kwa ajili ya ujenzi wa madarasa.
Tuseme tu ukweli kama nchi tushafeli ni propaganda kutwa na kufanyana wajinga tu.
Haya huyo...
Nimejaribu kufuatilia kinachoendelea mpaka nikashangaa watanzania walivyo mbumbumbu, nilivyomsikia ndugai sidhani kama alimaanisha watanzania tusikope kabisa bali ametizama matumizi ya mkopo wa trilioni 1.3 tuliokopa ili tujenge madarasa n.k akatazama kwenye bajeti yetu tulisema tunaweka tozo za...
Picha ya pili ni Watanzania tunajifanya kuwa hatujamsikia Samia akidai kuwa amekopa concessional loan ya miaka 20 kwa ajili ya kujenga madarasa, wakati tulishaambiwa kuwa Tozo ni kwa ajili ya kujenga madarasa😁😁😁
Huu ndo unyonge wa mwafrika. Badala ya mambo muhimu ya elimu, Wairi Ummy anajigamba kununua magari ya maafisa elimu. hizo ni pesa za wa-TZ zinatumika kununulia magari ya anasa Japan. Mashuleni hakuna madarasa, hakuna maabara, hakuna nyumba za waalimu. hakuna mabweni na hata madawati bado ni...
Ni mshangao mkubwa TZ baada ya miaka 60 tunakopa tena kwa riba fedha za kujenga madarasa ya shule Za sekondari.?
Kama Taifa tujiulize tumekosea wapi au tumelogwa na nani?
Nilitarajia mikopo iombwe kwa ajili ya miradi mikubwa mfano SGR .
Next year kuna uwezekano kuomba tena mkopo kutoka WB...
Mama yangu, kuliko kuboresha elimu mbovu, mbaya, iliopitwa na wakati, isioajirisha, mzigo kwa taifa!
Ni bora fedha zingetumika kuandaa mtaala mpya kabisa ambao ungesaidia vijana kujiajiri!elimu yenye vitendo zaidi kuliko huu upumbavu na ujinga wa kukariri unaohalalishwa na utaahira unaoitwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.