Jamn siku ya leo nimeshindwa kufanya tendo nikiingia kidogo kwenye uke namwaga mapema. Mwanzoni nilikuwa muhanga wa punyeto lakin nimeacha kwa muda mrefu kidogo ila sasa nashindwa kufanya tendo.
Pia niña miaka ipatayo miwil sijafanya tendo ila leo nikajua ntakuwa flexible kushiriki lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.