kugombea mali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Moshi: Amuua mama yake wakigombea mali za marehemu baba yake

    Huko moshi jamaa wa miaka 54 amemuua mama yake wa miaka 74 kwa sababu ya ugonvi wa mali alizoacha baba ama mume wa marehemu ambae ndio baba wa mtuhumiwa. Marehemu aliacha mashamba, hayo ndio yameleta mgogoro hadi jamaa akaamua kumuua mama yake. Matukio ya hovyo ya watu kuua wazazi wao kisa...
Back
Top Bottom