Leo tuzungumze kidogo kuhusu mfumo wa malipo unaowekwa kama kigezo cha biashara kufanyika. Wateja wako makini wanajiuliza, “Letter of Credit inaweza kutumika?” Hii ni jambo la msingi kwa wafanyabiashara wanaoagiza (BUY/IMPORT) na kuuza (SELL/EXPORT) nje! Ni kweli, lakini kuna changamoto. Je, LC...
Wakuu habari ya muda huu, hongereni kwakuendelea kupambana kuhakikisha ndoto zenu zinatimia🤝 hakika Atukuzwe Mungu anaye tuwezesha katika Hatua hizi zote🙏.
Wakuu nimekuwa nikiangalia Bei za bidhaa mbalimbali zinazouzwa katika mtandao WA Alibaba kwakweli zina Bei nafuu kuliko hapa nyumbani..Sasa...
Mala kwa mala huwa naagiza bidhaa kupitia aliexpress na kupokea mzigo kupitia posta kwa sasa nataka kuagiza mzigo kupitia alibaba na mzigo ni mdogo tu ambao nitatumia agent kama silent ocean n.k ila kunakitu kinanitatiza je kwa huku mkoani nitaupokelea wapi bila ya mimi kufika dar, na je hawa...
Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Said Othman Yakubu amekutana na Rais wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Kisiwa cha Anjouan na ujumbe wake na kuwahimiza kuzidisha uagizaji wa bidhaa toka Tanzania kwa kuzingatia ukaribu wa kijiografia na uhusiano wa kihistoria uliopo.
Balozi Yakubu ambaye...
Hello, nahitaji muongozo kuagiza bidhaa ambazo ukiingia Amazon unaambiwa THIS ITEM DOES NOT SHIP TO YOUR LOCATION.
Nina soundbar nililetewa na mtu imekufa, nataka kuagiza nyingine lakini haiwezi kuwa shiped Africa.
Kuna mtu aliniambia nicheki PROSHIP ila sina uhakika na usalama wa pesa, almost...
Habari za Muda wana jf na natumaini wote ni wazima.
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada.
Binafsi nimekuwa nikiagiza vitu online hasa aliexpress na mara moja moja kikuu. Nimetokea kutamani sana hii fursa na kuifanya kama sehemu ya plan C katika kutafuta kusukuma ndinga kama...
Ningependa kutoa somo la bure kwa wale ambao wanawaza jinsi gani wanaweza kuanza kuagiza bidhaa kutoka china.
Bidhaa hizi ni za jumla kwa ajili ya biashara.
Utaagiza moja kwa moja kutoka kwa wazalishaji.
Kupitia uzi huu utaweza kuona bei halisi za bidhaa pamoja na kujua ni jinsi gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.