Hapo jana timu aliyotoka kocha wa Yanga Ts Galaxy imeibuka na ushindi wa goli 1 kwa 3 ikiwa ugenini dhidi ya Sekhukhune ambayo ipo nafasi ya 7 kwenye msimamo wa League.
Timu hiyo imeonja ushindi wa kwanza kwa msimu huu baada ya kocha wao wa zamani kuondoka.
Kocha huyo mpya wa Yanga jana...
Baada kipigo kutoka kwa Al Hilal (2-0) kocha wa yanga anasema “Wachezaji wangu hawana fitness ya kucheza dakika 90”
— Kocha Sead Ramovic
Soma Pia: FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |
Kiukweli mechi ya kwanza tu tayari ameshaonyesha anapwaya. Haihitaji akae bench mechi 10 kujua ubovu wake. Huyu jamaa amekuja kuandika CV yakekwamba nayeye alipita Yanga, sio kuja kutupa uzoefu wa kazi yake.
Kipindi cha pili kaingiwa uoga wa nini sijui kaamua kubaki nyuma shenzi type. Mimi...
Kuelekea katika mechi za kimataifa katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), Kocha Mkuu wa Yanga Sc, Sead Ramovic, amezungumza na waandishi wa Habari, akisema!
"Hii ni mara yangu ya kwanza kwenye ligi ya mabingwa. Ni jambo la kheri sana kwangu kushiriki mashindano haya makubwa...
"Kama kocha huyu sifa zake ni kukuza na kuuza kama alivyosema, basi Krismas hafiki maana Klabu ya Yanga wamepita level hizo, tumuambie kuwa amekuja kwenye timu ambayo msimu uliopita wamechukua kila kitu na wametumia nguvu kubwa kumbakisha Stephane, Pacome na Mzize na malengo yao ni kufika mbali...
Sasa itakuwaje wakuu.
Sead Ramovic kocha mkuu Yanga SC aliwahi kuzungumza katika moja ya mkutano na waandishi wa Habari Afrika Kusini alisema;
"Kwenye timu yangu sitaki Pombe, sitaki wachezaji kufanya party na pia sitaki mtindo wa maisha wa kutokujali na kama utataka kufanya haya nitakutoa."...
Kipindi Yanga inajitafuta kabla GSM hajaokoa jahazi.
Kipindi yanga iko hoi kiuchumi kulikuwa na huyu kocha Mwinyi Zahera, tuliambiwa kuwa alikuwa akuwanunulia chakula Yanga na kulipa posho pale zinapochelewa.
Tukaambiwa ana apartment ufaransa na ubelgiji.
Baada ya Yanga kumtema nilisikia...
Hakuna timu nyingine utamkuta kocha ana furaha na wachezaji wake kama alivyo Gamondi.
Kwa furaha hii, tuendelee kuiona Yanga ikichukua mataji baada ya mataji.
Na Jumamos ijayo Vital'O ya Burundi itakula goli nyingi sana pale Chamazi.
.
Makolozidadi endeleeni kununa.😛😛😛
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.