Huyu kocha Juma Mgunda ameitendea mengi timu yetu lakini huwa tunamtreat vibaya mno. Juzikati tumemfukuza kazi, na leo ameanza makeke. Tukienda mkwakwani tunakula 2-0.
Hongera sana Camara, kipa la NBCPL.
Soma Pia: FT: Simba SC 2-2 Costal Union | NBC Premier League | KMC Complex | 4 Octoba, 2024
Moja ya vitu ambavyo Simba na viongozi wake wanaferi ni eneo la usajili, sasa hivi wanaongelea kusajili lakini wakati huo huo hawana majibu kama mgunda wanampa timu ama lah!
Kama Mgunda anapewa timu basi wafanye usajili kupitia ripoti ya Mgunda, na kama wanatafuta kocha mpya wanatakiwa wampate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.