Licha ya kero mbalimbali ambazo zimekuwa zikiripotiwa na Wananchi wenzangu kwa nyakati tofauti kuhusu Mwendokasi, lakini kuna kero ambayo imejitokeza kwa zaidi ya wiki sasa na haijapatiwa ufumbuzi wa haraka.
Katika kituo hicho kumekuwepo na malalamiko ya Wananchi kuibiwa simu zao na kuporwa...