Wakuu.
Mwijaku amwaga Chozi :KEKLEO:
Mtangazaji wa Crown Media, Mwemba Burton maarufu Mwijaku ameonyeshwa kuumizwa na kudai amekumbushwa mbali baada ya kuona Wazazi wa Dkt. Nawanda wakilia kwa uchungu, huku akishauri watu waache kubambikiana kesi ambacho zinakuja kuwaumia wengine wasiokuwa na...
Wakuu,
Wakili Paul Emmanuel Kilasa Kisabo amekata rufaa katika Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dodoma, dhidi ya Uamuzi wa Hakimu Nyambuli Tungaraja wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma ulioifuta kesi dhidi ya Afande Fatuma.
Pia soma: Kesi ya Afande sakata la binti wa Yombo yafutwa...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imekataa ombi la kusaini malalamiko yaliyotolewa na Paul Kisabo dhidi ya Fatma Kigondo maarufu kama Afande, baada ya kubaini kuwa malalamiko hayo yana dosari mbalimbali ikiwemo kutofuata taratibu za kisheria.
Uamuzi huu wa Mahakama uliotolewa siku ya Ijumaa...
Natumaini wote tuko poa.
Wajuzi wa sheria msaada, nina jamaa yangu mwanae kakutwa na kesi ya kulawiti watoto wenzake, kwa wajuzi wa sheria hukumu ikoje maana huyo mtoto yupo darasa la 4!
Pia soma: Kesi za ulawiti hasa kwa watoto wadogo zimekithiri sana. Hatua gani kali zifanyike? Kwanini...
Leo, 20.08.2024 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imesajili (Admission No. 000058901) malalamiko (complaint) ya Wakili Kisabo dhidi ya Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP) FATUMA KIGONDO ambaye ndiye “afande” aliyetuma genge lake la uhalifu kumbaka na kumlawiti JM.
Pia soma: 'Afande'...
Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime akizungumza katika Kongamano la Wanahabari, Jijini Dar es Salaam, Juni 19, 2024 anaelezea: Jukumu letu ni kulinda mali za Watu na mali zao, wakiwemo Waandishi wa Habari, pamoja na hivyo muhimu ni kufuata Sheria zinazoelekeza.
Kuna miongozo na Kanuni juu...
Kuhusu Barua inayodaiwa kuandikwa na binti aliyelawitiwa, RPC Mutafungwa amesema barua hiyo haijawafikia na kwamba mtu Binafsi hawezi kufuta kesi ya jinai kwa sababu mshtaki ni Jamhuri
Jumaa Mubarak 😀
=====
Mwandishi: Mtuhumiwa alikuwa amehiari kwa hiari yake kuachana na kesi hii
Jeshi la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.