This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.
Katika uhalisia kupitishwa kwa mgombea uraisi wa chama cha CCM haukuwa wa utaratibu na ulikiuka katiba ya CCM ambapo mgombea alipitishwa tu kwasababu ni raisi hii inapeleka taifa kwenye siasa mbaya sana.
Nilisema CCM isipitishe mtu kwasababu ni raisi au ni nani tukifanya hivi tutaharibu siasa...
NB. JK ameonekana rasimi ni adui wa Demokrasia nchini, aliamia kuchukua mamlaka ya kujimilikisha uenyekiti wa kikao na kutoa pendekezo la udikteta kwa kulazimisha kupitishwa majina ya wagombea Urais bila kufuata utaratibu wa chama.
Hii maana yake ni kuwa chama kimekiuka miongozo ya katiba ya...
Alute Munghwai, kaka wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ameeleza kuwa ni muhimu kurekebisha katiba ya chama hicho baada ya uchaguzi wa ndani ya chama.
Pia, Soma: Sijawahi kumsikia Mbowe akizungumzia Katiba Mpya ya JMT, Nadhani hicho siyo Kipaumbele chake bali ni Kipaumbele Cha Chama...
Mwaka 2006, Katiba ya Chadema ilifanya marekebisho yaliyoruhusu wanachama kugombea uongozi bila ukomo wakati awali, waliruhusiwa kugombea kwa vipindi viwili vya miaka mitano.
Tukikumbuka Mabadiliko hayo Hayakuwepo Kipindi cha Mtei au Bob Nyanga Makani..
Tujikumbushe Kidogo...
Jumatatu, Juni...
Hivi vikao wanavyoitisha ni kinyume na katiba ya chama chao.
6.2.1 Kutakuwa na vikao vya aina nne;
(a) Vikao vikuu vya maamuzi ya kisera.
Hii ni Mikutano Mikuu ya kila ngazi ya muundo wa Chama
(b) Vikao vya uongozi vinavyosimamia utekelezaji wa maamuzi ya kisera ya
vikao vikuu. Kamati za...
ASIYEKUTEUA HAWEZI KUKUTENGUA
KATIBA YA CHAMA CHA MAPINDUZI
TOLEO LA 2022
IBARA YA 102
Kazi za Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa
zitakuwa zifuatazo:-
KIFUNGU CHA 12
Kuchagua Katibu wa Halmashauri Kuu
ya Taifa wa Itikadi na Uenezi
KIFUNGU CHA 21
Kumwachisha au kumfukuza Uongozi
kiongozi...
Ado Shaibu ambaye ni Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo amefanya mahojiano na Jambo TV Ofisini kwake Alhamisi Desemba 28, 2023.
"Zitto hajang'atuka kwenye Chama, Zitto bado ni Kiongozi kijana na ana nafasi katika Siasa za Tanzania, Zitto ametangaza kuiheshimu Katiba ya ACT Wazalendo kwahiyo ni imani...
Kabla ya kupigania katiba ya nchi, mimi Bei Elekezi na ndugu yangu Yericko Nyerere tunataka katika za vyamabvyetu vya siasa ziweke kipengele cha ukomo wa kiongozi wajuu ili mawazo mapya yapate nafasi.
Tunapendekeza kiongozi wa juu wa chama chochote cha siasa aongoze kwa miaka 5, akiongoza vyema...
Tumeshuhudia kwa mfano akina Halima Mdee na wenzake Rufaa yao imechukua zaidi ya Mwaka mmoja kuweza kusikilizwa na Baraza Kuu
Sasa hii ni Katiba ya namna gani inayominya utoaji wa Haki kwa Wakati?
Kiukweli Wanasiasa watavuruga tu mchakato wa Katiba Mpya
Jumaa kareem!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.