Baadhi ya wanariadha wakubwa wa Tanzania wasusia mashindano ya karatu festivals yanayoandaliwa na kamati ya olimipiki Tanzania (TOC) ikiwa ni baada ya makamu wa rais wa TOC Henry Tandau kumkata jina kwenye uchaguzi wa kamisheni ya wachezaji na kumuita muasi/msaliti kwa kuhamasisha wenzake kuvaa...
Waziri Ndumbaro kwa nini huwapumzishi hawa wazee Filbert Bayi, Ghulam na Henry Tandau? wanaotafuna pesa za watanzania? Bayi anakula pesa za wanariadha , makocha na hata wanahabari ambao walitakiwa wapate scholarships mbalimbali, sasa toka afiki paris ufaransa ambapo alipelekwa na bayi yuko kimya...
Mheshimiwa waziri nimekusikia na kukuona kwenye mitandao ukiwa site huko manyara ukizungumza kuanzisha kituo cha michezo hasa riadha, na kuwaza kushinda mashindano mbalimbali;
Sasa ili ufanikiwe kwenye riadha, sumu kali ipo kwenye kamati ya olimpiki Tanzania (TOC) ikiongozwa zaidi na fisadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.