Habari kutoka ndani ya CCM ni kuwa Familia ya Makamba imemalizana na Rais Samia.
Makubaliano ni kuwa Mama Samia hakutaka Makamba arejeshewe Uwaziri kama walivyotaka.
Baada ya Maongezi ya muda mrefu Mheshimiwa Rais kwa kuiheshimu familia hiyo, ameahidi kufanya mpango kwa kufuata taratibu za...
Wakuu,
Baadhi ya Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM Halmashauri ya Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha wameungana kumkataa Katibu wa Wilaya wa Chama hicho Rukia Omary kwa kile walichokidai kuwa kiongozi huyo amekua akikiuka kanuni za chama ikiwemo uchonganishi wa Viongozi pamoja na upangaji safu ya...
Tangazo la Uchaguzi wa Mrithi wa Kinana
Tunaeleza kwa furaha kuwa mchakato wa kutafuta mrithi wa Kinana utaanza rasmi mwezi Januari 2025.
Huu ni mchakato muhimu kwa chama chetu, na tunawahimiza wanachama wote wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambao wana uwezo, nia, na sababu za kugombea nafasi hii...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi Taifa CCM na mlezi wa chama hicho mkoa wa Njombe, Marium Mamuya amesema ushindi mkubwa walioupata wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Novemba 27, 2024 haukuwa rahisi na unaashiria ugumu utakaopatikana kwenye Uchaguzi Mkuu hapo mwakani...
Wahenga Siasani wanasema kwa Kawaida Bunge la Chama kimoja ni Bunge la Serikali.
Hivyo Mpina Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya Bunge ni Sawa Kabisa na Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya CCM tofauti yake ni Wajumbe tu.
Wahenga wanasema kuna uwezekano Mpina akapewa adhabu kali ikizingatiwa Bunge...
Tukiendelea kulaumu mikataba ya ki chief Mangungo wa Musovero hatuwezi saidia kitu. Dawa ya yote hata ni Halmashauri Kuu kumtafuta mtu mwenye sifa moja tuuu ya utunzaji wa rasilimali za taifa. Huyu 2025 mwaka uwe wa mwisho.
La msingi ni kuomba tu Halmashauri Kuu ya CCM (maana tunajua ni lazima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.