Jamii zetu za kiafrika zimeweka mzigo mkubwa sana kwa mwanaume.
Naomba kutambua mchango wenu na kuwapa maua yenu kama ishara ya shukrani.
Shukrani za dhati ziwaendee;
🌹 Wanaume wanaoweka juhudi katika kazi zao halali, wakifanya kwa uaminifu na kujituma ili kujenga maisha bora kwao na familia...