jukwaa la siasa

  1. Mto Songwe

    Maswali ya msingi kwenu Wana Jukwaa

    Nilikuwa na maswali yangu machache ya msingi kuhusu nchi yangu Tanganyika. 1. Wakati yanafanyika makabidhiano ya uhuru kutoka kwa Muingereza kuja kwetu kwa Watanganyika ni masharti gani Muingereza alitoa kwetu Watanganyika kuhusu uhuru alio tukabidhi December 9, 1961? 2. Mali ngapi bado zipo...
  2. B

    Hodi kwenye Ulimwengu wa Mahaba. Ninaachana na jukwaa la Siasa kwa muda

    Hodi hapa, nitakuwapo kwa muda na pakinipendeza nitabakia hapa. Kule kwenye siasa naona kichwa kinaenda mbio. Nimerudi iliko mioyo. Leo nimekutana na kisa. Hiki kisa cha leo kimenifanya nije hapa kujua kama na wengine mmeshakutana na hili. Mara zote nikiwa na miadi na mwanamke mpya huwa siwezi...
  3. Mbahili

    Maana Halisi ya Upinzani ni hisia. Upinzani si ugomvi, si uadui, si vita wala Usaliti

    Awali ya yote, napenda kutumia fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kunifikisha siku hii ya leo na pia sitakuwa mtenda haki bila kuwashukuru waanzilishi wa forum hii. Baada ya kusema hayo machache, ningependa kukushukuru na wewe unaetumia gharama zako kusoma uzi wangu, huenda kuna mabadiliko...
  4. J

    Eid Mubarak Jukwaa la Siasa!

    Nawatakia Sikukuu ya Eid El Fitr yenye baraka na furaha wanajukwaa wote wa hapa Siasani. Eid Mubarak!
  5. G Sam

    Hongera jukwaa la siasa kuinuka tena. Ama kwa hakika huu ni mwanzo mpya

    Mimi binafsi na watu kama kina Pascal Mayalla ni watu ambao tulijiweka kando kabisa na mada za kisiasa baada ya uchaguzi mkuu 2020. Hata hivyo nilikuwa nikipita ndani ya jukwaa hili kimya kimya na ilibidi tuchangie pale tunapojisikia. Mimi ni moja wa watu humu ambaye huenda ningepotea kabisa...
  6. The Alchemist

    Learn the Law: Nini kilitangulia kati ya makosa na sheria

    Wakati mwenye shida na uhitaji akiniuliza maswali mbalimbali ya ufahamu wa sheria ningependa tujadili; 1) Kati ya sheria na makosa, ni kipi kilitangulia? 2)Unadhani Tanzania sheria kuna heshima ya sheria? 3) Legitimacy ya sheria inatoka wapi?
  7. Kidagaa kimemwozea

    Tumuache Maxence Melo na JamiiForums yake afanye kazi yake

    Hujambo mdau na msomaji wangu, Leo imenipendeza kulijadili hili swala, wewe mwenyewe utakuwa ni shahidi kwa namana, watu mbalimbali hasa vijana wanapo chakata akili zao na kuja na jambo la kimaendeleo namna wanavyo kumbana na changamoto mbalimbali zinazotokana na fikra hasi miongoni mwa pengine...
  8. Kichupa Steven

    Masaada wa sheria za kazi Utumishi wa Umma

    Habari viongozi Nahitaji mtaalamu wa sheria za kazi Kwa watumishi wa Umma kunasuala nahtaji Ushauri tafadhali Ni kwamba kijana mmoja alipata ajira ya serikalini mwaka 2014 akafanya kazi hadi April 2016 akaandika barua na kuacha kazi akaondoka kazini akafanya shughuli zake Mwaka 2019 akaomba...
  9. Shayu

    Kutoweka uzalendo kwa nchi: CCM haiwezi kuepuka lawama

    Kila Taifa ni lazima liwe na maono yake. Kila Taifa ni lazima lijue linapoelekea. Kila Taifa ni lazima liwe na muongozo na Dira. Matumaini ya Taifa lolote huwa mikononi mwa Viongozi wao ndio wanaamua baadae na historia ya Taifa. Tatizo tulilonalo ni viongozi walikosa ambition kwa Taifa hili...
  10. N

    Tabia ya Rais kuwataja kwa majina TISS ni kutokujua miiko au ni sifa?

    naam katika awamu hii mambo mengi ambayo raia wa kawaida ilikua ni nadra sana kuyajua au ni vigumu kuyajua imekuwa ni jambo la kawaida sana kuyasikia.. najua kila nchi huwa inataratibu zake za ulinzi na namna ya kupata taarifa muhimu zitakazoisaidia nchi katika masuala mbalimbali ya...
  11. N

    Msaada: Uombaji wa nafasi za kuchukua diploma ngazi ya afya una awamu ngapi

    Naam nilikua napitia katika website ya nacte http://41.93.40.134:8080/noavs/Closed.jsp nimekuta kuna ujumbe wa msisitizo unaosomeka hivi Kindly be informed that admission cycle for academic year 2019/2020 is officially closed for all Online Applications. Tunapenda kukutaarifu kwamba zoezi la...
  12. A

    Rais Magufuli alivyovuruga Uhusiano na Wadau wa Maendeleo

    Mwitikio wa andiko langu wiki lililopita katika mtandao huu wa JF ulinipa hamasa kuendelea kuandika zaidi jinsi Rais Magufuli anavyoendelea kulipotezea mwelekeo taifa. Wiki hii naona nigusie kwa undani jinsi Magufuli anavyoharibu uhusiano mzuri sana uliokuwepo kati ya Tanzania na wadau...
  13. S

    Serikali imeonesha ubaguzi wa wazi kwa vijana waliosoma mpaka elimu ya Juu

    Mimi natangaza kuwa MTU wa kwanza kuwa siiamini Serikali kama inawaona vijana na generation ijayo .. Sijui serikali hii inatamani kuona Society ya aina gani in 5 to 10 years later. Naamini vijana ni kundi linaloteseka sana kuliko kundi lolote lile na kipindi hiki cha awamu ya tano vijana...
  14. A

    Magufuli ni Rais muoga haijawahi tokea katika nchi hii

    Ninaandika ujumbe huu kwa huzuni sana kwasababu kati ya viongozi ambao nilikuwa ninaamini genuinely wangeweza kuleta mageuzi katika nchi hii Magufuli alikua namba moja. Nilikua shabiki yake toka alipokua Waziri wa Ujenzi na hata baada ya kuchaguliwa kuwa Rais bado nilimpenda kwa dhati. Ni...
  15. Kaka Pekee

    Wanasiasa Wachumia Matumbo, na Siasa za kutekwa na Mkumbo. Pole Tz yangu

    What goes arround comes arround...Wanasiasa hatukuwasikia kutoa tamko la pamoja ktk sheria ya mifuko ya hifadhi ya jamii,sasa hv hii sheria ya Vyama vya Siasa tunasikia wamekutana ili kupata tamko la pamoja. Sasa mbona km wanajiwakilisha wao?..na km wanatuwakilisha sisi mbona hatukusikia tamko...
  16. Anicet mchomvu

    Profesa Baregu afunguka sakata la Membe na 2020

    Sakata la tuhuma dhidi ya Bernard Membe kuanza mapema mchakato wa kuwania nafasi ya kugombea urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi katika uchaguzi ujao, lililowekwa wazi na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dkt. Bashiru Ally limemuibua Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Profesa Mwesiga Baregu. Profesa...
  17. J

    OMBI: Serikali iunde Computer Lab. Kila Programmer akatengeneze anachojua kwa manufaa ya nchi

    OMBI KWA SERIKALI YA MH. RAIS MAGUFULI: Serikali kupitia Wizara husika, iunde Computer Lab, ambayo itakuwa na Specs zifuatazo: Chumba kiwe kikubwa, chenye Computer za Mac "50", zenye specs kuanzia RAM 8 na 1 TB...hazitawekewa Software yoyote, ziwe empty. halafu vijana wanaoona wanaweza ku...
Back
Top Bottom