huduma ya meno

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Athumani Chausa

    Hospitali nchini ziongeze wataalamu wa huduma ya meno

    Huu ni ushauri katika Hospitali zetu waongezwe wataalamu ambao wataweza kufanya huduma bora za kuvisha meno yenye tundu kofia za silva ili kuepuka usumbufu katika utafunaji. Kumekuwa na changamoto hii ambapo muda mwengine kung'oa kunasababisha kupoteza muonekano mzuri wa kinywa.
Back
Top Bottom