Ni Iringa hapa, tena Regional Referral Hospital, nimeshangaa sana au ndio yale mambo ya Halmashauri hayo, miradi inajengwa kwa fedha zetu ila unalipia tena kuitumia.
Inasikitisha sana yaani hii nchi imelaaniwa sana. Halmashauri zina mambo mengi sana ya kienyeji.
Kusoma majibu ya hospitali...
Ni aibu kwa halmashauri ya mji wa Babati kuweza kujenga mamia ya frem za biashara kuzunguka uwanja wa mpira wa Kwara halafu wasiweze kuweka huduma ya choo.
Biashara mbali mbali zinafanyika katika eneo hili zikiwemo za vyakula, bar, butchers, saloon nk nk lakini ukitaka kukojoa unaambiwa ni hapo...
Pamoja na kukusanya mapato kila siku ya Shilingi 500 kupanda kivuko, lakini kuna Shilingi 200 kwa kila anayetumia huduma ya vyoo hapa ferry.
Kitu kinachochefua ni huduma mbovu ikiwepo na ubovu wa vyoo, maji hakuna, vyoo vichafu na hazifanyiwi usafi.
Nimeshangazwa sana na hali hii kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.