homa ya nyani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Kisa Kimoja cha Homa ya Nyani (Monkey Pox) chathibitika na kufanya iwe jumla ya visa 14 mpaka sasa Kenya

    The Ministry of Health has announced one more confirmed case of Mpox in the country, taking the total number of cases recorded so far to 14. Health Cabinet Secretary Dr. Deborah Barasa, in a statement released on Thursday, said the case was recorded in Uasin Gishu County. The cases are...
  2. M

    DRC: Asilimia 75% ya walioathirika zaidi na Homa ya nyani ni watoto chini ya umri miaka 10

    Takwimu iliyotolewa na jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa homa ya nyani (Mpox) ya mwaka 2024 ikiwa ni zaidi ya vifo 450. asilimia 75% ya walioathirika zaidi na ugonjwa huo ni watoto chini ya umri miaka 10. Soma Pia: Kuna mlipuko wa ungonjwa wa Homa ya Nyani (MPox)...
  3. Dede 01

    Ifahamu homa ya nyani ama kwa kiingereza monkey pox

    Homa ya nyani ni ugonjwa unaosababishwa na kirusi kinachotoka kwa nyani. Kirusi hiki kiligundulika mnamo mwaka 1958 barani Ulaya.Ila mwanadamu wa kwanza kuupata ugonjwa huu aliupata mwaka 1970. Ugonjwa huu,dalili zake zina fanana na ule wa tetekuwanga lakini huu una mateso zaidi kama...
  4. W

    Kenya kuripoti Kisa cha kwanza cha virusi vya Homa ya Nyani 'Mpox'

    Wizara ya Afya imethibitisha kesi ya kwanza ya ugonjwa wa virusi vya 'Mpox' mpakani mwa Taita Taveta na Tanzania baada ya kugunduliwa kutoka kwa mtu mmoja aliyekuwa akisafiri kutoka Uganda kuelekea Rwanda Mamlaka hiyo imetoa tahadhari kwa raia wa Kenya Julai 31, 2024 kujilinda dhidi ya mlipuko...
  5. Suley2019

    Homa ya nyani (Monkeypox) yaibuka tena Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo. Watoto wadaiwa kuathirika zaidi

    Aina hatari ya homa ya nyani (mpox) inayowaua watoto na kusababisha mimba kutoka katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ndiyo inayoweza kuambukiza zaidi na inaweza kusambaa kimataifa, wanasayansi wameonya. Virusi hivi vinaonekana kusambaa kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine kupitia mawasiliano...
  6. Sildenafil Citrate

    Homa ya Nyani (Mpox) sio tena Janga la Dharura ya Kimataifa

    Shirika la Afya Duniani (WHO) leo Mei 11, 2023 limetangaza rasmi kuwa Ugonjwa wa Homa ya Nyani (Mpox) sio tena janga la Dharura ya Kimataifa. Taarifa hii inakuja siku moja baada ya kamati ya Dharura ya ugonjwa huo kuketi na kutoa tathimini kuwa kwa sasa ugonjwa huo haustahili tena kuwa...
  7. BARD AI

    WHO yabadili rasmi jina la Monkeypox kuwa Mpox

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limechukua uamuzi huo baada kushauriana na wataalamu kutokana na uwepo wa malalamiko kwamba jina la sasa lina Ubaguzi wa Rangi na Unyanyapaa. WHO imehimiza mashirika yote yanayotoa hudua za Afya duniani kote pamoja na vyombo vya habari kuanza kutumia jina hilo...
Back
Top Bottom