hati za ardhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    Wananchi 300 wa Kijiji cha Ikungugazi Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita wakabidhiwa Hati za Ardhi za Kimila

    Zaidi ya wananchi 300 wa Kijiji cha Ikungugazi kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita wamekabidhiwa Hati za Ardhi za Kimila. Wananchi hao wameeleza kuwa hati hizo ni urithi kwa watoto wao, na kwamba zitaongeza thamani ya ardhi, kupunguza migogoro ya ardhi, na kuwawezesha kuwa na...
  2. Wizara ya Ardhi

    Waziri Ndejembi: Tunzeni hati za ardhi mlizopokea ziwe msaada kwa vizazi vijavyo

    WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amekabidhi Hati za Haki Miliki za Kimila kwa wananchi 700 wilayani Ikungi mkoani Singida ambapo amewataka kuzitunza Hati hizo ili ziendelee kuwa msaada kwa kizazi cha sasa na vizazi vijavyo. Akizungumza wakati wa zoezi...
Back
Top Bottom