Nmepita pita kwenye mtandao nimekutana na picha za sherehe ya HARUSI ya kuolewa kwa BINTI ya muheshmiwa Rais wa Zanzibar Ndugu Hussein Mwinyi.
Nmepatwa kiu ya kujua huyu mshaikaji aliepata hii Bahati, na naskia jamaa NI mmasai wa Arusha na NI Mkristo sasa sijajua Nani kabadilisha dini hapo...