gen z revolution

I Am Gen Z is a 2021 documentary film about the impact of the digital revolution on our society, our brains and mental health, and how the forces driving it are working against humanity. This has huge ramifications for the first generation growing up with mobile digital technology - Generation Z, born between 1995 and 2012.
Produced by Chantelle De Carvalho and directed and edited by Liz Smith, the film's music was composed by film composer Kim Halliday. I Am Gen Z premiered at the 2021 Copenhagen International Documentary Film Festival (CPH:DOX). The film is available in two versions, 100 minutes and a shortened 52 minutes.
The issues raised in the film are not only of interest to the Generation Z community, but also to parents, carers and educators, and the film attempts to promote a greater understanding of the effects of the technology on the mental health and development of young people. Part of that endeavour is an innovative programme of educational outreach that runs alongside broadcast and VOD releases.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Kwa Mfumo wa Elimu ya Tanzania ulivyo ni vigumu sana kuibua Falsafa za Gen Z Katikati ya Vijana wetu

    Huo ndio ukweli Elimu ya Tanzania hutolewa kimkakati sana hivyo siyo rahisi kupata Vijana wa kubeba maono ya Gen Z kama ilivyo Kenya na sasa Nigeria Gen Z ya Kenya imesheheni Wasomi wa Sheria na Teknolojia, sasa unaweza kupima tu hata Viwango vya Mawakili wa Kenya na Tanzania kwa sababu tofauti...
  2. Kamanda Asiyechoka

    Kuelekea 2025 Freeman Mbowe aomba hasira za Vijana wa Kenya iwafikie Watanzania

    Kamanada anatakiwa kuwa jasiri --- Freeman mbowe akiomba hasira za vijana wa kenya iwafikie Watanzania Akiwa kwenye mkutano huo wa kisaisa wa CHADEMA Mbowe amesema: “angalia wakenya, watoto wana hasira na viongozi, kuanzia rais , makamu wa rais, mawaziri, wabunge. Kenya leo wabunge wanajificha...
  3. J

    Fatma Karume atamani Watanzania Wangekuwa na Ufahamu kama Gen Z wa Kenya

    Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume anesema anatamani Watanzania Wote wangekuwa na ufahamu kama Watoto Wadogo wa Gen Z Karume amefurahishwa na Kauli ya Gen Z Kwa Ruto kwamba " Sisi ndio tumekuweka hapo na Sisi Tunaweza kukuondoa" Karume ameongea ukurasani X Baadae Mlale Unono 😃
  4. B

    Gen Z gather here: Tuko wapi mbona hatuonekani? Kenya wametuonesha njia tunaweza washughulikia kigeneration yetu!

    Gen Z tupo? Tumekuwa tukisemwa sana hadi na mabroo kuwa tumelala, tupo nyuma, ninwaoga kama kunguru kukimbiza mabawa, lakini je, hilo ni kweli? Najua tuko wengi humu kwanini sasa kwanini hatushiriki kudai haki zetu? Kizazi chetu ndio kinaongoza kutumia teknolojia vizuri hata millenials...
Back
Top Bottom