Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema amesema atamshauri Mwenyekiti mpya wa Chama hicho Taifa, Tundu Lissu kuanda mkakati wa kumuaga rasmi na kutambua mchango wa Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA, Freeman Mbowe ambapo pamoja na zawadi nyingine amesema wanaweza kumtafutia Land Cruiser 200...
Aliwakosea nini hawa wenyeviti wa chadema wa mikoa, hata asiwepo hata moja wao tu kumuuunga mkono Kibaraka kwenye nafasi ya mwenyekiti wa Taifa?
Nimemskia mwenyekiti wa chadema mkoa wa Mbeya, kwa dharau sana akihoji kwamba, mtu ambae hana uhakika hata na usalama wake tu, ndio apewe uenyekiti wa...
Eti kwa sababu ya uhuru wa kuongea leo marafiki wanavuana nguo mbele ya watoto!! Natamani ningekuwa na namba ya Mbowe nimuulize anajisokiaje. Je panauma au patamu!!!😂😂😂😂😂.
Ndiyo mjue kuwa kuna maneno mengine yanaudhi na yanaweza kukusababishia uchue maamuzi magumu ya kijinga!
Democrasia...
Wajumbe wa CHADEMA tafadhilini tunataka mchague Mtanzania sio diaspora wiki yuko Tanzania miezi 6 yuko Ubelgiji kura apewe Mbowe
Mbowe muda wote yuko Tanzania madhila yote yake
Itendeeni haki nchi yenu na Chadema
Lisu ana tabia tu ya kuja kipindi cha chaguzi na hizo chaguzi lazima ziwe...
Ushauri wangu kwa CHADEMA hamna anayefaa kuwa mwenyekiti wa chama hicho kati ya hao wawili kwa sababu zifuatazo ambazo zote zinanufaisha chama cha dolla
1.)Mmoja ni mropokaji hajui eneo lake kwa kiswahili kizuri anatumwa na hisia na sio rational atakiingiza chama kwenye chaos na kitakuwa hakina...
https://www.youtube.com/watch?v=X4mfNXq4ep8
Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA, amesema alikuwa miongoni mwa waanzilishi wa chama hicho akiwa na umri wa miaka 30. Akizungumza kupitia Clouds FM, amesema;
"Mimi nilikuwa miongoni kwa waanzilishi wa CHADEMA. Kipindi hicho nilikuwa mdogo sana kati...
Kampeni za Lissu zinaonyesha ana visasi na ugomvi na baadhi ya viongozi, zinaonyesha kwamba hana nia njema kabisa.
Anaingia kama mtu mwenye kisasi sidhani kama hata siku ya uchaguzi itafika akiwa bado ni mgombea wa CHADEMA!
Kelele zimekuwa nyingi lakini pia anatumia lugha za kuudhi na malengo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.