Tundu Lissu amemtahadharisha mtanganzaji wa ITV Farhia Middle katika kipindi cha dakika 45 kuwa kama anataka kufahamu jinsi Abdul alivyomshawishi kwa rushwa alegeze misimamo yake dhidi ya serikali ajiandae. Farhia akala kona kwa kuhofia majibu magumu ambayo Tundu Lissu angeyatoa.
Imefikia kipindi nikiona tu sio wewe unayesoma taarifa ya habari basi naondoka au nabadilisha channel.
Na nilivyo mgonjwa wa big nyashi, sehemu muhimu zaidi kwangu ni pale unapogeuka na kutembea kwenda kukaa kwenye kiti ili usome taarifa kamili.
Dah, waliokuzaa wanastahili pongezi kwakweli...
Farhia Middle katika kipindi cha Dakika 45 ITV alikuwa anamuhoji Warioba kuhusu miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Katika mahojiano hayo Farhia alijitahidi sana kumuondoa katika hoja ya msingi na kujaribu kuingiza mambo ya katiba na mengine yaliyokuwa nje ya mada. Lakini Mzee...
Kwanza nianze kwa kutoa Pongezi zangu Kwenu Radio One ( hasa hasa ) Watangazaji wangu Bora kwa Afrika na Kipindi changu pendwa cha Mazungumzo ya Familia cha kila Jumapili kuanzia Saa 1 na Nusu hadi Saa 4 Kamli za Asubuhi kwa Kukubali Ubalozi wangu wa Kujiteua na Kulazimisha wa hicho Kipindi...
Yaani Dada yangu Farhia Middle hivi Waziri wa Maji Awesso kuwa 'Field' kuangalia Changamoto za upatikanaji wa Maji Mkoani Dar es Salaam ndiyo hadi Umsifu mpaka utake hata Kumkufuru Mwenyezi Mungu katika Kipindi chenu Kizuri cha Mazungumzo ya Familia cha leo ukiwa na Pacha wako Aboubakary Sadick...
Kwa kawaida kipindi hiki kinasimamiwa na Ndugu Farhia Middle kila siku ya Jumatatu kujadili/kumuuliza maswali mwalika katika kipindi hicho.
Mwalikwa wa leo alikuwa ni Naibu Spika Dr. Tulia Ackson. Kipindi cha leo kimekuwa very boring na hakina ladha. Msimamizi wa leo hana mbinu kabisa...
"Kuna Wanaume wengine Wana tabia za Kike Kike za kupenda Kuwasema Watu vibaya ambao wameishi na kufanya nao Kazi kana kwamba hawakuwa na Mazuri yao au Yeye nae hana Mapungufu yake. Tafadhali ukiachika nyamaza tu kwani Kutajataja Watu kunaonyesha jinsi gani unavyowakubali na ulivyoumia kutokuwa...
Kuna Kipindi nakumbuka ( nikiwa kama Msikilizaji Balozi na Mwandamizi wa Kipindi chao nikipendacho cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One kila Jumapili Saa 1 na Nusu Asubuhi hadi Saa 4 Kamili Asubuhi ) aliwahi 'Kufiwa' na Dada yake tena wa toka nitoke ila wala hakuwa katika Majonzi na alisahau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.