évariste ndayishimiye

General Évariste Ndayishimiye (born 1968) is a Burundian politician who has served as President of Burundi since 18 June 2020. He became involved in the rebel National Council for the Defense of Democracy – Forces for the Defense of Democracy (Conseil National Pour la Défense de la Démocratie – Forces pour la Défense de la Démocratie, CNDD–FDD) during the Burundian Civil War and rose up the ranks of its militia. At the end of the conflict, he entered the Burundian Army and held a number of political offices under the auspices of President Pierre Nkurunziza. Nkurunziza endorsed Ndayishimiye as his successor ahead of the 2020 elections which he won with a large majority.

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    Burundi yatoa onyo dhidi ya shambulio lolote kutoka Rwanda

    "Tunafahamu Rwanda inajaribu kutuvamia kupitia ardhi ya DRC ili wasingizie kuwa ni waasi wa Red Tabara na M23. Lakini tunawaambia nasi tunaweza kushambulia Kigali" Burundi imetishia kujibu vikali shambulio au uvamizi wowote utakaotokea nchini humo kutoka Rwanda. Mahojiano ya kipekee na BBC...
  2. B

    Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye alithibitisha dhamira ya Burundi katika kuleta amani nchini DRC

    27 February 2025 Ikulu ya Gitega Burundi RAIS WA BURUNDI , EVARISTE NDAYISHIMIYE, ABADILI MSIMAMO WA BURUNDI KATIKA KULETA AMANI NCHINI DRC, Rais Evariste Ndayishimiye akutana na mabalozi wa kigeni wanaowakilisha nchi zao nchini Burundi kwa mara ya pili mwaka huu 2025, na kuleta mapendekezo...
  3. Mindyou

    Washauri watatu wa zamani wa Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye watupwa gerezani kwa tuhuma za uhaini

    Katika hatua iliyoibua gumzo nchini Burundi, washiriki watatu waandamizi wa timu ya ushauri ya Rais Evariste Ndayishimiye wamejikuta gerezani katika Gereza Kuu la Mpimba, Bujumbura, wakikabiliwa na tuhuma za uhaini. Miongoni mwa waliotiwa mbaroni ni Baribonekeza Jean Baptiste, aliyewahi kuwa...
  4. Nyendo

    Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye awasili nchini Tanzania kuanza Ziara ya siku 3

    Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye, amewasili nchini kwa ziara ya Kitaifa ya siku (3) kuanzia leo tarehe 22 hadi 24 Oktoba, 2021. Mhe. Ndayishimiyeamepokelewa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, Jijini Dodoma. Atatembelea na...
  5. Miss Zomboko

    Rais wa Burundi kufanya ziara ya siku 3 nchini

    Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye, anatarajiwa kuwasili nchini kwa ziara ya Kitaifa ya siku tatu kuanzia tarehe 22 hadi 24 Oktoba, 2021. Akiongea na Waandishi wa Habari ofisini kwake jijini Dodoma, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi...
  6. U

    Rais Kenyatta ampa Zawadi Ng'ombe 50 Rais wa Burundi

    Rais Evaristo Ndayishiye wa Burundi aliyepo ziarani nchini Kenya amepatiwa zawadi ya Ng'ombe 50 na Mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta. Makabidhiano hayo yamefanyika leo Kisumu nchini Kenya ===== Uhuru's Special Gift for Burundi President By Lisa Sigei on 31 May 2021 - 5:26 pm...
Back
Top Bottom