esther matiko

Esther Matiko (born November 24, 1976) is a Tanzanian politician belonging to the opposition Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) party. She is a Member of Parliament for Tarime Urban.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Halima Mdee na wenzake 18 kusamehewa na kurudi CHADEMA ni sahihi siyo jinai

    Mimi ninakubaliana kuhusu kurudi kwa akina Halima Mdeme na wenzake 19 kwa makubaliano na Kamati kuu na kwa kuomba msamaha kwa Baraza Kuu kwa vile hakuna binadamu asiye na kasoro. Mbowe tumia weledi wa uongozi kwenye masuala yote magumu ya chama achana na makundi ya akina John Mrema wenye...
  2. Greatest Of All Time

    Esther Matiko ahoji tofauti ya mishahara kwa askari magereza na askari polisi licha ya kuwa wote wapo wizara moja

    "Nini kinasababisha tofauti ya maslahi kati ya Askari wa Jeshi la Polisi na Askari wa Jeshi la Magereza, mathalani Assistant Inspekta of Police anapewa basic salary shilingi laki tisa na elfu hamsini (950,000) wakati wa magereza anapewa kiasi cha shilingi laki nane na elfu hamsini na saba...
  3. Replica

    Esther Matiko: Umeme Tanzania ni Ghali sana, Kagera elfu 10 unapata unit 80 kutoka Uganda badala ya 28

    Mbunge wa viti maalum kupitia chama cha CHADEMA, Esther Matiko amelalamikia gharama kubwa za umeme Tanzania huku akitolea mfano wakazi wanaoishi Kagera na kutumia umeme kutoka Uganda wanalipia 10,000 na kupata unit 80 ilihali kwa fedha hiyo Tanzania inanunua unit 28 pekee.
  4. beth

    Esther Matiko: Sera za ufugaji zimepitwa na wakati

    Mbunge wa Viti Maalum, Esther Matiko yamekuwepo malalamiko kutoka wadau mbalimbali kuwa Sera, Sheria na Kanuni zilizopo zimepitwa na wakati Akichangia majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi amesema "Ifanyike review (tathmini) ili twende na Ufugaji wa kisasa. Ranchi ya Taifa ambayo...
  5. Kinuju

    Esther Matiko: Tenda za ujenzi wa bandari ya Bagamoyo zitangazwe upya

    Mbunge wa viti maalum kutokea Chadema mh Esther Matiko akichangia bungeni, amesema kama ujenzi wa bandari ya Bagamoyo kutoka kwa Wachina una mashariti magumu, basi tenda zitangazwe upya na makampuni yaombe ili sisi Watanzania tuamue ni kampuni ipi itujengee kwa manufaa ya taifa letu. My take...
  6. Analogia Malenga

    Waliowasindikiza Esther Matiko na Bulaya bungeni wafutwa uanachama wa CHADEMA

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) mkoa wa Mara kimewavua uongozi na kuwafuta uanachama wanachama wake nane akiwamo aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Wilaya ya Tarime kwa kosa la kuwasindikiza waliokuwa viongozi na wanachama wa chama hicho Ester Bulaya na Esther Matiko bungeni...
  7. J

    CHADEMA mkoa wa Mara waunga mkono Esther Matiko na Esther Bulaya kuvuliwa uanachama

    Uongozi wa Chadema mkoani Mara umeunga mkono kwa kauli moja uamuzi wa kamati kuu ya chama chao wa kuwavua uanachama waliokuwa wabunge wao Esther Bulaya na Esther Matiko. Chanzo: Ayo tv Maendeleo hayana vyama!
  8. D

    Uchaguzi 2020 Esther Matiko asuswa na viongozi wa CHADEMA wilaya na mkoa

    ESTHER MATIKO ASUSWA NA VIONGOZI CHADEMA MKOA NA WILAYA Ni Lucas Ngoto Mwenyekiti Mkoa, na Hamisi Nyanswi Mwenyekiti Wilaya. Sababu kubwa ni dharau, kiburi na malingo. Pia wanajiepusha na lawama ya kushindwa sababu hali yao ni tete. Kushindwa kwake kutekeleza ahadi zake kwawa mwiba mkubwa...
  9. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 Ester Matiko avamiwa na Polisi, Mlinzi wake achukuliwa kama Jambazi, akimbizwa kusikojulikana

    Tulisema tangu awali kwamba CCM bila polisi ni wepesi kuliko pamba , Ushahidi wa video huu hapa
  10. Mwanahabari Huru

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime Elias Ntirihungwa, awafuta Ukuu wa Shule ambao Walitembelewa na Esther Matiko

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime (Elias Ntirihungwa) ambaye ndiye Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Tarime Mjini amewafuta Ukuu wa Shule (Sekondari) na Walimu wakuu (Primary) wote ambao Mhe Esther Matiko Mgombea Ubunge CHADEMA ametembelea Shule zao katika kipindi hiki cha Kampeni. Hii...
  11. Erythrocyte

    Segerea: Wabunge wa CHADEMA Ester Bulaya, Ester Matiko na Halima Mdee waachiwa. Wasema sasa ni saa ya ukombozi Tanzania

    Viongozi watatu; Halima Mdee (Mb), Esther Bulaya (Mb) na Esther Matiko (Mb), wametoka magereza asubuhi ya leo na watazungumza na wanahabari leo katika Ofisi za CHADEMA makao makuu Mtaa wa Ufipa, Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Polisi wamewablock viongozi wa CHADEMA Mheshimiwa Halima Mdee...
Back
Top Bottom