Shilingi ya Tanzania ama TZS kwa kifupicho chake rasmi imetajwa kama fedha iliyofanya vibaya zaidi kwa mwaka huu wa 2025 hadi sasa kuliko fedha yoyote Duniani.
Shilingi ya Tanzania imeshuka thamani kwa zaidi ya 8.9% dhidi ya Dola ya kimarekani toka mwaka huu uanze. Hii ni rekodi ya Dunia kwani...
Serikali ya Modi (waziri mkuu wa India) inaweka msingi juu ya maadili ya uondoaji wa dola na kutoa njia kwa dola ya Marekani kustawi.
Mwanachama wa BRICS India kwa mara nyingine tena amekataa matarajio ya sarafu mpya na kusifu dola ya Marekani kwa kudumisha utulivu wa kimataifa. Waziri wa Mambo...
Kwanini USA wanalazimisha nchi nyingi Duniani kutumia Dollar ili kununua vitu Kimataifa?.
Kwanini USA wanawapandishia kodi Nchi nyigne kuna nini hapo au ni kwamba USA ndo Great Market in This World Only?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.