Na Happiness Shayo- Dar es Salaam
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) ameipongeza Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) kwa jitihada za kutangaza vivutio vya utalii nchini huku akisisitiza kuwa hayo ndio maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia...
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana(Mb) amesema Serikali imekuwa ikitumia takwimu za kisayansi kufanya maamuzi yaliyojikita kuimarisha uhifadhi wa Wanyamapori ili kuwa na Utalii endelevu.
Mhe.Chana ametoa kauli hiyo leo Oktoba 16,2024 Jijini Arusha wakati akizungumza...
WAZIRI BALOZI DKT. PINDI CHANA ATETA NA UJUMBE WA BENKI YA DUNIA
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka Benki ya Dunia ukiongozwa na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bw. Nathan Belete katika Ofisi za Wizara ya...
Waziri wa Katiba na Sheria Dr Pindi Chana atakutana na Waziri wa Utumishi George Simbachawene na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu kutafuta Suluhisho la Ongezeko kubwa la Vifo na Talaka nchini
My take: Sijajua Kwanini hawajamshirikisha Dorothy Gwajima
========
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Balozi Dk...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana ameipokea rasmi timu ya wasichana ya mpira wa miguu ya Fountain Gate, mabingwa wa Afrika kwa Shule za Sekondari walioiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Kimataifa ya mpira wa miguu ya CAF yaliyomalizika hivi karibuni nchini...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Balozi Dkt. Pindi Chana ameshiriki hafla ya usiku wa Mwanamke, Machi 08, 2023 iliyowahusisha Wanawake wa Mkoa wa Njombe ambapo shughuli mbalimbali zikiwemo za ubunifu wa mavazi na elimu ya ujasiriamali zimepamba hafla hiyo.
Hafla hiyo ni katika maadhimisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.