Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza Matokeo ya Mtihani wa Darasa la 7 uliofanyika Septemba 2024 yanayoonesha Ufaulu wa Wasichana umeshuka kwa 0.53% kulinganisha na ufaulu wa 80.58% wa mwaka 2023 huku ufaulu wa Wavulana ukipanda kwa 81.85% kutoka 80.59% ya mwaka 2023.
Jumla ya...
Wakuu matokeo ya mtihani wa darasa la vii kwa mwaka 2024 yametoka.
Matokeo ya Darasa la saba yatangazwa leo Oktoba 29, 2024 yaliyotangazwa na Katibu Mtendaji Baraza la Mitihani Necta Dkt. Said Ally, ambapo watahiniwa 974,229 kati ya wanafunzi 1,230,774 waliosajiliwa kufanya mtihani wamefaulu...
Wasalaam,
Napenda kuchukua fursa hii kuwalaani wasanii wote wakiongozwa na rais wao stev Nyerere ambae hajamaliza hata darsa la saba kutumika kisiasa na cha chama cha mapinduzi kupotosha umma wa watanganyika kuhusu masuala muhimu ya kitaifa. Jana nimemsikiliza dula makabila ambae ameishia...
Tunawatakia mitihani mwema. Tunaamini Wizara ya Elimu na vyombo vyote vya ulinzi na usalama vita dhibiti udanganyifu usitokee. Na watakao bainika kufanya udanganyifu basi hatua kali zichukuliwe. Ni aibu kubwa kusikia udanganyifu umetokea.
Pongezi nyingi kwa waziri Prof. Mkenda kwa kuwa imara...
Hivi siku hizi ni kwamba utaratibu wa masomo ya wanafunzi wa primary hasa wa la 7?
Kwa sababu asubuhi mida ya saa kumi na moja unawakuta wako barabarani wanasubiri usafiri na jioni hadi mida ya saa mbili unakutana nao wamesimama huko barabarani ndo wanaenda nyumbani.
Nimejaribu kuwauliza...
Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba uliofanyika Septemba 13-14, 2023.
Matokeo hayo yametangazwa leo, Alhamisi Novemba 23, 2023 na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Dk Said Mohammed.
Kwa mujibu wa Dk Mohammed, wanafunzi 360 ambao walipata matatizo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.