Pamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa 👇👇
Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza Kambayao alifuata nini Tegeta wakati alipaswa kuwa chuoni Dodoma CBE?
Maswali yanazidi kuchanganya umma...
Mimi ni mwanafunzi nimemaliza Diploma katika chuo cha CBE, changamoto yangu kubwa hawataki kupeleka matokeo yangu NACTE ili niweze kuapply AVN namba niweze kuendelea na degree.
Nimejaribu kwenda mara nyingi lakini jibu nalojibiwa tunafanyia kazi, sasa ni miezi miwili nahangaika maana mimi ni...
NAIBU WAZIRI KIGAHE AFANYA ZIARA CHUO CHA CBE & TRIDO
Naibu Waziri Wizara ya Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe ameridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa jengo la Metrology Annex unaoendelea katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Kampasi ya Dar es Salaam.
Hayo yamebainishwa wakati wa ziara ya...
Habari za Leo wadau,
Mimi ni Wakala. Leo dada wa kazini amekosea kulipia control number ambayo ni ada ya mwanafunzi wa CBE akamlipia mwanafunzi mwingine wa CBE ambae sio alietoa pesa.
Naomba kuuliza hatua za kufuata Ili nitatue changamoto hii, naomba kuwasilisha.
MREJESHO:
Nilifuta ushauri wa...
Mvua ya masaa tu chuo kimekuwa mto, aliyejenga hapa atafutwe awajibishwe. Mambo ya hovyo sana haya, hakukuwa na upembuzi yakinifu.
Leo watu wamehailisha mitihani Dar es Salaam Campus kisa chuo kujaa maji.
USSR
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.