To cut the story short watoto tupo sita rika ni 30 hadi 40, wengi tayari tunaishi mikoa mingine sababu tumeajiriwa serikalini
Mzee alifariki 2015, Bi Mkubwa 2023
Pale mjini kuna nyumba mbili, ya kwanza ni ya kitambo tuliyoikuta na kuishi nao wazazi, nyingine tuliijenga watoto miaka ya 2013...