JAN24
Nilikujia na post moja ya kuomba ushauri kwenye kesi za mirathi ya vijana fulani mtaani.
Kuna vijana fulani walifiwa na wazazi, sasa baba yao mdogo akawa msimamizi. Katika hilo, akagoma kuweka kiwanja cha marehemu kwenye documents za mirathi.
Akatofoa cheti cha kifo cha marehemu kaka...
Mara nyingi tunaona na tunasikia kwenye vyombo vya habari kuhusu Wosia kupingwa Mahakamani kutokana na utata wa wosia huo.
Hali hii husababisha kesi ya Mirathi kutumia muda mrefu hadi kukamilika kwake. Huku ukizingatia Mali ambazo walipaswa kugawana katika familia kukaa tu na pengine...
Nimeteuliwa kuwa msimamizi wa mirathi wa Mali za mama yangu mzazi mahakamani. Nilipoenda PSSSF nilichoelezwa ni kuwa kama mama alishastaafu na kupewa kiinua mgongo na kuwa amepokea zaidi ya miaka mitatu hela za kila mwezi zinazotokaga basi sisi kama watoto hatutanufaika na chochote.
Je, hili...
To cut the story short watoto tupo sita rika ni 30 hadi 40, wengi tayari tunaishi mikoa mingine sababu tumeajiriwa serikalini
Mzee alifariki 2015, Bi Mkubwa 2023
Pale mjini kuna nyumba mbili, ya kwanza ni ya kitambo tuliyoikuta na kuishi nao wazazi, nyingine tuliijenga watoto miaka ya 2013...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.