Imeshindwa kwa sababu Chakula hakikutolewa baada ya wazazi kutokuchangia, na walimu wamewazuia wanafunzi kutokuondoka kwenda kula mpaka saa 11:30 jioni, hivyo kushinda shuleni na njaa.
Hata ule muda wa saa 8:30 masomo yanapoisha hawawaruhusu kwenda kupata chakula ili masomo ya jioni yaendelee...