Mahakama ya kijeshi la jeshi la polisi imewatia hatiani wakaguzi waandamizi wanne wa polisi mkoani Arusha kwa makosa matatu ikiwemo kushawishi na kuomba rushwa ya shilingi milioni 10 na kuachia madawa ya kulevya aina ya mirungi kilo zaidi ya 1200 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 60...
Takriban miezi 2 kufika leo media zote zilijaa mambo ya upotoshaji kutoka kwa akina Mwabukusi, Dr. Slaa, Mdude, Nshala, Lissu etc. Hawa walikuwa wanatumia lugha ya vitisho na matusi dhidi ya viongozi wa Serikali kuhusiana na Mkataba wa Bandari na DP World.
Wapo pia waliotumia fursa zao kukosoa...
Jeshi la Polisi Tanzania, limetoa onyo kali watu wanaotangaza mpango wa kuiangusha serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia akibainisha kuwa huu ni uhaini na hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.
Akitoa taarifa hiyo, Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillus Wambura...
Nianze kwa kukupa pole na majukumu ya kitaifa pia nikupongeze kwa kuaminiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, uwe Mkuu wa Jeshi la Polisi.
Sina shaka na utendaji wako uliotukuka, pichani ni Askari wako Inspekta Emmanuel Govella ambaye alikuwa Mkuu wa Kituo cha...
Kalamu ya Chacha Wangwe Jr,
Kila mtanzania mwenye uelewa wa mambo anayofuraha kubwa kutokana na uteuzi uliofanywa na Rais Samia katika kumteua CAMILIUS WAMBURA kuwa Inspekta Jenerali wa Polisi. Ni mtu sahihi kwa wakati sahihi.
UZOEFU KATIKA MAJUKUMU MAKUBWA
-Kamanda wa Polisi Mkoa Maalum wa...
Nimejawa na furaha kuona mtu makini ndani ya Jeshi la Polisi mwenye uzoefu na weledi anakabidhiwa majukumu makubwa ya kuliongoza Jeshi letu la Polisi. Hakika CAMILIUS WAMBURA ni mtu sahihi mno.
Wengi wetu tunaofuatilia utendaji wa Jeshi la Polisi nchini tulitegemea mabadiliko kufanywa hususani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.