Wakuu,
Tunajua "Upungufu wa Umeme" bado upo, na ratiba inafuatwa vilivyo!
Wengi wetu shughuli za kutupa michuzi ziko mchana na kwa kiasi kikubwa zinategemea umeme. Hii inafanya kukosekana kwa umeme kwa siku nzima kutupa hasara kubwa na kwa namna fulani kuturudisha nyuma kwenye harakati zetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.