📍Izigo_Muleba
🗓️Tarehe 07/12/2024
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Comrade Faris Buruhani, ameongoza uzinduzi na makabidhiano ya nyumba ya Mama Asimwe sambamba na chumba kimoja cha biashara. Tukio hilo limefanyika leo tarehe 07/12/2024 katika kata ya Izigo, wilaya ya Muleba...
Upande wa Jamhuri katika kesi ya mauaji ya mtoto mwenye ualbino, Asimwe Novath (2) umewasilisha maelezo ya ushahidi katika hatua ya awali, ukieleza utakuwa na mashahidi 52 na vielelezo 37.
Katika maelezo hayo ya ushahidi, mmoja wa mashahidi ameeleza mbinu iliyotumiwa na washtakiwa kumpora mtoto...
Leo July 12, 2024 imeitwa kesi ya Watuhumiwa tisa wa mauaji ya Mtoto Asimwe Novart aliyekuwa na ualbino ambaye alichukuliwa nyumbani kwao Kamachumu May 30 mwaka huu 2024 na June 17, 2024 mwili wake ulikutwa kwenye kalavati akiwa ameuawa na kukatwa baadhi ya viungo vyake.
Watuhumiwa hao tisa...
Wadau hamjamboni nyote?
Nazungumzia Kanisa Katoliki wala silinganishi na Imani nyingine. Kwamba ndani ya mfumo wa Kanisa Katoliki huwezi kuwa mzito darasani kisha ukawa Padre, kupata zero darasani kisha ukawa padre & kuhubiri yaliyo nje ya mfumo wa kanisa.
Nasema tena siku zote nitaliheshimu...
Tangu jana Kuliporipotiwa Tukio la Paroko msaidizi kuhusika na Tukio la Kutekwa,Kuawa wka Binti Mrembo Asimwe(2) Kumekuwa na hisia tofauti juu ya wahusika hao Hususanai Mhusika wa Kwanza Ambaye ni abab yake pamoja na mtu aliyetajwa kwa jina la aElipidius Rwegoshora ambaye inadaiwa kuwa ni Paroko...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema kuwa tayari Jeshi la Polisi limewakamata watu wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya mtoto mwenye ualbino Asimwe Novath (2).
Mei 30, 2024 Asimwe anadaiwa alichukuliwa na watu wasiojulikana nyumbani kwao Muleba mkoani Kagera na juhudi za...
Ananilea Nkya kupitia mtandao wa X amesema kuwa miaka ya nyuma tulishuhudia mauaji ya albino kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu.
ALBINO: MSIMU wa uchaguzi umekaribia, miaka ya nyuma nyakati kama hizi tulishuhudia mauaji ya KIKATILI ya watu wenye UALBINO kwa sababu za kishirikina. Mwaka huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.