Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amewaonya wanachama wa chama hicho kuhusu umuhimu wa kuchagua wagombea wanaokubalika na Wananchi katika uchaguzi ujao, Oktaba 2025. Akisisitiza kuwa viongozi ni wa watu na lazima wakubalike na wapiga kura ili washinde...