Steve Dii
JF-Expert Member
- Jun 25, 2007
- 6,402
- 1,270
Habari zenu?!
"Hapo mwanzo palikuwa na nini" ni swali ambalo naona tumekumbana nalo toka tukiwa shule za chekechea. Na hii leo nimeamua kuliibua hapa JF, kunradhi kama litawaboa!
Haya sasa, kwa elimu yote uliyokusanya na nasaha mbalimbali ulizokutana nazo maishani toka ujiulize kwa mara ya kwanza; sasa je umeshapata jibu la swali hili?
Ndugu, naomba kama utachangia uwe huru kujibu jinsi upendavyo. Lakini pia kama utapenda unaweza kuingiza nasaha zako kwenye maswala yafuatayo katika kujibu:
---uelewa wako kuhusiana na ulimwengu/galaxy, yaani cosmic system.
---uelewa wako kuhusiana na evolution/parallel evolution of living organisms.
---uelewa wako kuhusiana na theory za continental drift.
---uelewa wako kuhusiana na maandishi matakatifu, Quran, Bible etc kuhusu kuumbika kwa ulimwengu.
---uelewa wako kuhusina na ahera/jehanamu (eternal flame).
---uelewa wako kuhusiana na mbingu na nchi kifizikia na tofauti au wiano zake kiimani/dini.
---uelewa wako kuhusiana na 'reincarnation'
---uelewa wako kuhuisiana na kuwepo kwa dinosaurs na kutoweka kwao.
---uelewa wako wa umri wa ulimwengu, big bang theory na antimatter.
---n.k.7
Natanguliza shukrani zangu.
SteveD.