Siku zote najua viongozi wa Chadema wanatabia ya kujitekenya na kucheka wenyewe,watajifanya wanapinga maendeleo anayofanya Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan alikini anapotembelea sehemu zao huwa wanakubali mziki wake.
Nadhani Lissu kuna mambo ndani ya Chadema anayajua ndio maana amekuwa akitoa kauli zenye kukibomoa chama chake Gazeti la Nipashe la 28 August 2024 liliandika LISSU AHOFU PESA CHAFU KUPENYEZWA CHADEMA
Marekani ni taifa ambalo mara nyingi linaonekana kama mfano wa demokrasia kwa mataifa mengine duniani. Hata hivyo, kuna muktadha wa kipekee ambao unahitaji kuangaliwa kwa karibu: wakati nchi hii inapojisifu kwa kuimarisha demokrasia na haki za binadamu, hali ya ndani ya nchi hiyo siyo kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.