Wengine hawana ubunifu tofauti na Makonda ambaye ni mbunifu kumuzidi Hadi bibi tozo.za chini ya kapeti zinasema bi tozo anataka kumfukuza kazi Kwa sababu amekuwa maarufu sana kumzidi yeye.hataki kuzidiwa umaarufu
Takukuru ni taasisi ambayo haina meno.yaani ni kibogoyo.inafanya kazi Hadi iambiwe na kiongozi Fulani kama waziri rais au mkuu wa mkoa.bila Hivyo wao hutulia ofisini tu kula kiyoyozi na kupokea pesa za Bure Bure za walipa kodi
Hiyo barabara ni miongoni mwa ule mradi wa njia nane toka kibaha hadi ubungo na ilikuwa ikamilike mwaka 2023 lakini wajanja wakamzidi Samia Kwa kuwa mwepesi wa kudanganyika pesa zikaliwa na mradi ukasimama.kwa Sasa amekopa pesa Kwa riba kubwa ambazo hazieleweki ameamua kutujengea ki barabara...
Mabadiliko tuliyoyaona ya rais Samia ni kama ifuatavyo
1.kupanda Kwa nishati.mfano petroli Kwa Sasa ni 3500/Lita tofauti na miaka mitatu nyuma ilikuwa1500/Lita.
2.wafanyabiashara wa malori kutoka congo kwenda bandari ya Dar wamehamia Mombasa baada ya kuuzwa Kwa dp world tofauti na miaka kadhaa...
Hawezi kuchangia Kwa sababu serikali ya bibi tozo haitaki wa kuikosoa.inapenda watu mbumbumbu ambao hawaoni mapungufu.Ndugai ni mzalendo ambaye huwa anasema ukweli.kwa kuwa bi tozo haitaki kukosolewa ndiyo maana kaamua kubaki kimya
Mama kaiuza gesi Kwa mwekezaji mzawa ambaye ni mwanae Abdul na yeye kuiuzia serikali bei kubwa mara tisa ya bei inayotakiwa kulipwa ndiyo maana bei ipo juu.Nchi hii imeoza kabisa.
Ruto Yuko vizuri na mtu wa maamuzi.sasa wangemwalika yule mla ulojo angeshauri uamuzi Gani huko kwenye barazala usalama?angekuwa anawaambia tu mkalitazame.wameona huyu wakualika kwenye ufunguzi wa albamu za mziki
Za chini ya kapeti zinasema mama anamwandaa kurithi mikoba.lakini ninaimani wa Tanganyika hatutakubali huo uhuni.labda amrithishe kusafiri angani Kila siku.
Mama kaiharibu nchi.uchumi wa Nchi uko mahututi.anachojua yeye ni kisafiri tu.hatukuzoea kuona Arusha kuwa na hali mbaya kiuchumi kiasi hiki.huyu bibi ni muuaji wa uchumi wetu hasitahili kuwepo kwenye hiyo nafasi.huyu alifaa awe muuimba taarabu.
Mimi kama askari barabarani,nashukuru sana kuiweka hapa hiyo leseni yako na kuanzia Sasa nitaanza kukagua taratibu hadi niipate hiyo leseni ili nikubambike makosa.maana Kwa uzoefu wa kazi yangu nimegundua magri ya watanzania ni mikweche(ya kimasikini)yaani Kila gari linakasoro nyingi.sasa wewe...
Hizo ndege zimekufa baada ya kurithishwa madaraka na hichi kibibi.maana hakajui kuwaongoza watu wake.kila mradi ulioanzishwa na Magufuli Kwa Sasa zinakufa sababu ya kurithi li mutu la ajabu ajabu.
Suti inaheshima yake.kumiliki suti unatakiwa umiliki usafiri.sasa mwalimu umshonee suti aanze kutembea Kwa miguu barabarani na joto lote la Dar itakuwa kuwafedhehesha.itakuwa aibu kubwa sana kununuliwa suti na kuanza kubanana kwenye daladala labda wawanunulie suti za mitumba
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.